»Siri za kushughulikia Vifaranga bila vifo«

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.youtube.com/watch?v=a48HkFQhPAA

Muda: 

00:10:01
Imetengenezwa ndani: 
2022

Imetayarishwa na: 

AfriChic

Ufugaji wa kuku bila vifo ndio biashara yenye faida kubwa. Kabla ya kuwapeleka vifaranga wako shambani, jitayarishe kwanza. Kuwa na idadi sahihi ya vyombo vya kulishia na kunyweshea, pamoja na nyenzo zinazotumika kutengenezea banda la vifaranga.

Kujenga eneo la kutunzia vifaranga

Eneo la kutunzia vifaranga linapaswa kuwa angalau 75cm na 1m kutoka ardhini, kwa hivyo joto pungufu litatumika kwa sababu joto la kutosha litahifadhiwa.

Sambaza maranda ya mbao au maranda kwenye sakafu, tandaza pamba juu ya maranda ya mbao ili kuepuka vifaranga kugusana moja kwa moja na maranda, na kula machujo ya mbao.

Wakati wa kushughulikia vifaranga, tumia vyombo vya kunyweshea vinavyofaa ili kuzuia vifaranga kulowa maji wakati wa kunywa, ambayo husababisha nimonia.

Kulisha vifaranga

Wakati wa kuwapa maji, changanya maji na vitamini kwanza, kisha umimine mchanganyiko kwenye chombo cha kunyweshea. Chukua chombo kwenye eneo la kutunzia vifaranga. Paka mafuta ya taa kwenye pande za chombo cha kunyweshea. Usichanganye maji, vitamini na mafuta ya taa.

Taa la umeme linapaswa kuwa chini vya kutosha, na kutoa mwanga wa kutosha. Usitumie taa linalotoa mwanga mwingi sana ili kuepuka ghrama kubwa za umeme. Tumia taa zinazazotoa mwanga mdogo, ambazo huwafurahisha vifaranga.

Mwanga mwingi sana husababisha upofu kwa vifaranga.

Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0000:48Kulea vifaranga watoto bila vifo.
00:5601:19Tengeneza eneo la kutunizia vifaranga kwa umbo na saizi unayotaka
01:2002:31Ni muhimu kuandaa eneo la kutunzia vifaranga ukitumia maranda ya mbao.
02:3202:42Tandaza pamba juu ya maranda ya mbao ili kuepuka vifaranga kula machujo ya mbao
02:4304:12Tumia vyombo vya kunyweshea vinavyofaa ili kuzuia vifaranga kulowa maji wakati wa kula.
04:1305:08Tumia vyombo vya kulishia vinavyofaa kwa vifaranga.
05:0905:53Changanya maji na vitamini
05:5406:57Usitumie taa linalotoa mwanga mwingi sana
06:5807:20Mwanga mwingi sana husababisha upofu kwa vifaranga. Tumia taa zinazazotoa mwanga mdogo
07:2110:01Muhtasari

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *