»Ugonjwa wa homa ya mapafu (Mannheimia haemolytica)«

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.youtube.com/watch?v=cb6KMJbUs20

Muda: 

00:03:35
Imetengenezwa ndani: 
2020

Imetayarishwa na: 

Boehringer Ingelheim Cattle Health

wa kuwa ni mojawapo ya mambo yanayoathiri ufugaji wa wanyama, afya ya mnyama huamua ubora na wingi wa bidhaa zinazopatikana.

Ugonjwa wa homa ya mapafu (Bovine Respiratory) ndio chanzo kikuu cha vifo vya ndama walio na umri wa zaidi ya wiki tatu, na ni ugonjwa ghali zaidi ambao hufanya ufugaji wa wanyama kuwa na changamoto.

Udhibiti wa magonjwa

Viini vya mannheimia haemolytica huingia puani mwa ndama mara tu baada ya kuzaliwa. Viini hivyo husababisha maambukizi ambayo huathiri sehemu za juu za kupumua. Viini huendela huvamia mapafu ya mnyama na kuongezeka idadi. Hii huchochea vijidudu muhimu kusafiri hadi kwenye mapafu ili kuvamia viini.

Vile vile, viini vya mannheimia haemolytica huzalisha sumu ambayo huharibu na kuua vijidudu muhimu. Mara baada ya vijidudu muhimu kuharibiwa, huzalisha vimeng‘enya ambavyo husababisha uharibifu na ugonjwa wa mapafu.

Bakteria hawa hawana kiini kinachochochea utengenezaji wa kingamwili ambazo hupunguza sumu, na kwa hivyo bakteria hawawezi kumlinda mnyama dhidi ya uharibifu unaosababishwa na sumu. Chanjo aina ya Presponse SQ ina bakteria zote mbili za kingamwili ambazo huzuia uharibifu unaosababishwa na sumu, jambo ambalo huruhusu vijidudu muhimu kuua viini vya mannheimia haemolytica, na hivyo kupunguza uharibifu wa mapafu.

Hatimaye chagua chanjo zinazoaminika ambazo husaidia kulinda ng‘ombe dhidi ya ugonjwa wa homa ya mapafu.

Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0000:26Ugonjwa wa homa ya mapafu husababisha vifo cha ndama wenye umri wa wiki 3.
00:2700:37Viini vya mannheimia haemolytica huingia puani mwa ndama.
00:3800:53Viini hivyo husababisha maambukizi ambayo huathiri sehemu za juu za kupumua.
00:5400:57Viini huvamia mapafu ya mnyama na kuongezeka kwa idadi.
00:5801:05Hii huchochea vijidudu muhimu kusafiri hadi kwenye mapafu ili kuvamia viini.
01:0601:16Viini vya mannheimia haemolytica huzalisha sumu
01:1701:23Mara baada ya vijidudu muhimu kuharibiwa, huzalisha vimeng‘enya
01:2401:31Vimeng‘enya huzalisha vimeng‘enya ambavyo husababisha uharibifu na ugonjwa wa homa ya mapafu.
01:3201:44Kisha bakteria hawa huuawa.
01:4502:00Kingamwili hufunga antijeni pamoja na macrophages na neutrophils ili kuua bakteria.
02:0102:10Bakteria hawa hawana kiini kinachochochea utengenezaji wa kingamwili ambazo hupunguza sumu.
02:1102:24Bakteria hawawezi kumlinda mnyama dhidi ya uharibifu unaosababishwa na sumu.
02:2502:54Leukotoxoids huchochea uzalishaji wa kingamwili ambayo hupunguza sumu.
02:5503:04Chanjo aina ya Presponse SQ ina bakteria zote mbili za kingamwili ambazo huzuia uharibifu unaosababishwa na sumu.
03:0503:17Chagua chanjo zinazoaminika.

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *