»Matibabu asili ya chule, Chule ya Nyanya«

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.youtube.com/watch?v=64VYoCYT3UA&t=101s

Muda: 

00:03:29
Imetengenezwa ndani: 
2020

Imetayarishwa na: 

grow life

Nyanya hukabiliwa na magonjwa mengi na chule ni mojawapo yao. Chule husababishwa na ukungu, na inaweza kutibiwa kiasili, na kwa kutumia kemikali.

Dalili na kuzuia

Chule hujidhihirisha kwenye nyanya kama mashimo madogo yaliyo kwenye majani.

Hii huzuia mmea kugusana na udongo ulio na unyevu, ambao huhimiza ukuaji ukungu.

Epuka kumwagilia mimea maji mengi sana, na pia fanya mzunguko wa mazao. Epuka kupanda nyanya, pilipili na mbiringani mwaka kwa mwaka. Unaweza kubadilisha mazao kwa kupanda mboga za mizizi kama vile karoti na biti rut.

Udhibiti

Kwa asili, unaweza kudhibiti chule kwa kutumia mafuta ya mwarobaini, majivu na jeli ya mshubiri.

Kikemikali, unaweza kudhibiti chule kwa kutumia dawa yoyote iliyo na shaba au salfa ya kuulia ukungu, au kutumia chloro ethnyl, lakini matumizi ya kemikali yanapaswa kuwa njia ya mwisho.

Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0001:03Chule hujidhihirisha kwenye nyanya kama mashimo madogo yaliyo kwenye majani.
01:0401:53Kinga ni kwa kuondoa majani kwenye matawi ya sehemu za chini ya mmea, kupanda mseto na kupunguza umwagiliaji wa maji.
01:5402:34Kwa njia asili, unaweza kudhibiti chule kwa kutumia mafuta ya mwarobaini, majivu na jeli ya mshubiri.
02:3503:29Kikemikali, unaweza kudhibiti chule kwa kutumia dawa yoyote iliyo na shaba au salfa ya kuulia ukungu, au kutumia chloro ethnyl, lakini matumizi ya kemikali yanapaswa kuwa njia ya mwisho.

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *