Wakulima wanapitia changamoto nyingi lakini changamoto nyingi wanazopitia zinaweza kutatuliwa.
Mbuzi wanapokuwa na vimelea, nywele zao huwa mbaya, mbuzi huonekana wachafu na matumbo yao
huvimba. Hii husababisha wanyama kudumaa na baadhi ya nyakati kufa. Ili kupunguza uwezekano wa watoto kuambukizwa na vimelea, usiruhusu watoto kwenda na mama zao kwa malisho kwa sababu wana kinga dhaifu na wako katika hatari ya kushambuliwa na minyoo.
Kutunza Watoto
Kuweka Alama na dawa ya minyoo
Mbuzi wanapokuwa na vimelea, nywele zao huwa mbaya, mbuzi huonekana wachafu na matumbo yao huvimba. Hii husababisha wanyama kudumaa na baadhi ya nyakati kufa. Ili kupunguza uwezekano wa watoto kuambukizwa na vimelea, usiruhusu watoto kwenda na mama zao kwa malisho kwa sababu wana kinga dhaifu na wako katika hatari ya kushambuliwa na minyoo.