Usimamizi wa chama.
Malengo huwekwa kila mwaka kwa kila shamba, wanachama hulipa ada kwa huduma zinazotolewa na vyama vidogo vinaundwa mara tu chama kinapokuwa kikubwa zaidi. Wanachama huweka malengo na hujadili mabadiliko yanayohitajika ili kuongeza ubora wa mazao. Chuma matunda ya kahawa yaliyoiva pekee na yakaushie ardhini. Panda miti ya kivuli.
Hatimaye, vyama vinatoa kiasi kinachohitajika cha kahawa kwa wanunuzi na hivyo hupata bei nzuri.