»Kupanda maharagwe ya lupine bila ugonjwa«

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.accessagriculture.org/growing-lupin-without-disease

Muda: 

00:12:21
Imetengenezwa ndani: 
2019

Imetayarishwa na: 

Agro-Insight

Kupanda lupine kunaathiriwa na sababu nyingi ambazo ni pamoja na wadudu, magonjwa, usawa duni wa virutubisho vya udongo. Wakulima hukabiliwa na changamoto zinazosababisha ukuzaji duni.

Maharagwe ya lupine yanaweza kupandwa katika nyanda za juu kwa sababu yanastahimili ukame. Yamekithiri madini kama vile protini, fumuele na kalsiamu. Hizi pia huongeza rutuba kwa udongo

Mimea yenye afya

Kamwe usipande lupine kwa miaka 2 katika shamba hilo hilo. Chule (anthracnose) ni ugonjwa hatari sana ambao huathiri lupine tangu wakati wa kuchipuka. Chule hudhuru sana wakati mvua inafuatwa na jua. Chule hutambuliwa na uwepo wa madoa meusi kwenye; majani, maganda na shina ambayo baadaye hukauka. Pia na uwepo wa shina zenye kasoro. Vimelea vya chule huishi katika mbegu na mabaki ya mimea.

Daima weka mbegu mbali na mimea yenye afya. Ugonjwa huo huenezwa kwa mimea mingine kupitia kwa upepo, mvua na watu. Chambua na kubainisha lupine ili kupata mbegu bora. Ondoa mbegu zilizovunjika, zilizo na kasoro, na zilizobadilika rangi. Chambua mbegu kutegemea ukubwa wazo ukitumia wavu au mikono. Tumia mbegu kubwa kwa sababu zina uwezo wa kunawiri na kuzalisha zaidi. Choma mbegu zilizo na ugonjwa ili kuzuia ugonjwa kusambaa.

Suuza mbegu kwa siku kadha ili kuondoa zile zenye ladha kali.

Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0000:59Maharagwe ya lupine yanaweza kupandwa katika nyanda za juu kwa sababu yanastahimili ukame
01:0001:35Yamekithiri madini kama vile protini, fumuele na kalsiamu
01:3602:38Kupanda mazao mazuri ya lupine yenye afya.
02:3903:43Kamwe usipande lupine kwa miaka 2 katika shamba hilo hilo
03:4404:10Chule ni ugonjwa hatari sana ambao huathiri lupine
04:1104:39Chule huathiri lupine tangu wakati wa kuchipuka. Chule hudhuru sana wakati mvua inafuatwa na jua.
04:4005:26Chule hutambuliwa na uwepo wa madoa meusi kwenye; majani, maganda na shina ambayo baadaye hukauka. Pia na uwepo wa shina zenye kasoro. Vimelea vya chule huishi katika mbegu na mabaki ya mimea.
05:2705:55Daima weka mbegu mbali na mimea yenye afya.
05:5606:34Ugonjwa huo huenezwa kwa mimea mingine kupitia kwa upepo, mvua na nguo za watu. Chambua na kubainisha lupine ili kupata mbegu bora.
06:3507:14Tumia mbegu tu zenye afya kwa kupanda
07:1508:58Chambua mbegu kutegemea ukubwa wazo ukitumia wavu au mikono. Tumia mbegu kubwa
08:5910:22Choma mbegu zilizo na ugonjwa ili kuzuia ugonjwa kusambaa
10:2312:21Muhtasari

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *