Kupanda mitende wy medjool

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.youtube.com/watch?v=VYwz2ewgzes&pp=ygUNZ3Jvd2luZyBkYXRlcw%3D%3D

Muda: 

15:22:00
Imetengenezwa ndani: 
2021

Imetayarishwa na: 

The Garden Nerd
Kabla ya kupanda mti wa tende, hakikisha kwamba unaupanda katika eneo ambalo mti unapata mwanga wa jua moja kwa moja, na mahali pana ili mti ukue vya kutosha.

Mazinagtio wakati wa kupanda

Chimba shimo la kupandia lenye kina cha futi 3 na kipenyo cha futi 3 mahali pasipotwamisha maji. Ili kujua hilo, mimina maji kwenye shimo na ikiwa hayatapenya ardhini ndani ya masaa 24, jua kwamba udongo si uzuri.
Chimba shimo ambalo ni kubwa kuliko kiriba kilicho na mmea.
Wakati wa kuchimba shimo, tenganisha udongo wa juu kutoka kwa udongo wa chini.
Changanya udongo wa juu na mboji kwani hii ndiyo itakayotumika kujaza shimo baada ya kupanda.

Kupanda miche

Anza kwa kujaza tena udongo uliochanganywa na mboji.
Usipande miche kwa kina kirefu.
Ondoa mche kutoka kwa kiriba au chombo.
Ingiza mche kwenye shimo na ujaze shimo kwa udongo wa juu uliobaki uliochanganywa na mboji.
Ongeza mboji kuzunguka mche na kisha mwagilia maji.
Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0002:39Mche upandwe kwenye sehemu inapata mwanga wa jua wa kutosha, kwenye eneo lisilotwamisha maji
02:4004:08vipimo vya shimo la kupandia.
04:0907:35 Changanya mboji na udongo wa juu.
07:3612:34Ondoa viriba na weka mche kwenye shimo na ujaze tena na udongo wa juu.
12:3514:34Ongeza mbolea juu na mwagilia maji.
14:3515:22Muhtasari

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi