Usimamizi wa zao
Kwanza, anza kupogoa mara tu mizabibu inapoanza kuacha kutoa matunda hasa mwezi wa Januari na Februari. Kadiri unavyochelewesha kupogoa ndivyo machipukizi yanavyochelewa kutokea. Magonjwa makuu ni pamoja na eutypalata, botryospheria, esca na trunk. Magonjwa ya mashina huwa mengi sana wakati wa msimu wa mvua, hivyo basi usipogoe wakati wa mvua.
Vile vile, mbinu za kupogoa ni pamoja na cordon-trained, spur-pruned na cane-pruned.
Hatimaye, palilia shamba lako la mizabibu.