Kutoa nta kutoka kwenye sega la asali

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.youtube.com/watch?v=3JrmSet7gPs&t=32s

Muda: 

16:03:00
Imetengenezwa ndani: 
2022

Imetayarishwa na: 

RYAN GRADY
Chukua masega yako na kuyaponda kwa kutumia mikono yako ili kutoa asali na chuja asali kwa ili kutenganisha asali na masega.
Asali hii si nzuri kwa matumizi ya binadamu kwani huwa imekaa kwenye mzinga kwa muda mrefu. Baada ya kuchuja acha masega kwa siku kadhaa ili kuwezesha nyuki kuyasafisha, na kisha chukua masega na uyachemshe. Kisha tumia chujio kutenganisha nta kutoka kwa takataka na uitupe. Tutakuwa na nta iliyoimarishwa baada ya kupoa, na kisha safisha chujio ili hurahisisha mchakato unaofuata. Kata nta katika vipande na kuiweka kwenye kitambaa cha karatasi mbili na kisha juu ya sufuria.

Kuchemsha nta

Ingiza nta ndani ya oveni na uweke karatasi ya alumini chini yake. Nta huyeyuka kupitia makaratasi. Usitupe karatasi hizo kwani zinaweza kutumika tena. Nta huachwa kwa muda kadhaa ili ibadilike kuwa ngumu, na kisha nta hutenganishwa kwa maji.

Matumizi ya nta

Nta hupakwa ndani ya ubao wa mzinga wa nyuki ili kuwahimiza nyuki kujenga juu yake. Nta pia zinaweza kufinyangwa ili kutumika kutengeneza vitu kama vile mishumaa. Hata hivyo, kuwa mwangalifu endapo unatekeleza mchakato huo kwa kuwa nta zinaweza kuwaka moto sana hasa ikiwa unatumia mfumo wa bunsenbana.
Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0001:30Chukua masega yako na kuyaponda kwa kutumia mikono yako ili kutoa asali na chuja asali kwa ili kutenganisha asali na masega.
01:3103:01Asali hii si nzuri kwa matumizi ya binadamu kwani huwa imekaa kwenye mzinga kwa muda mrefu.
03:0204:32Baada ya kuchuja acha masega kwa siku kadhaa ili kuwezesha nyuki kuyasafisha
04:3306:03 chukua masega na uyachemshe
06:0407:34tumia chujio kutenganisha nta kutoka kwa takataka na uitupe
07:3508:20Tutakuwa na nta iliyoimarishwa baada ya kupoa
08:2109:19 Kata nta katika vipande na kuiweka kwenye kitambaa cha karatasi mbili na kisha juu ya sufuria.
09:2010:50Nta huyeyuka kupitia makaratasi.
10:5111:35Nta huachwa kwa muda kadhaa ili ibadilike kuwa ngumu, na kisha nta hutenganishwa kwa maji.
11:3612:16Nta hupakwa ndani ya ubao wa mzinga wa nyuki ili kuwahimiza nyuki kujenga juu yake.
12:1713:18Jinsi ya kufinyanga nta
13:1914:33Nta pia zinaweza kufinyangwa ili kutumika kutengeneza vitu kama vile mishumaa.
14:3416:03 kuwa mwangalifu endapo unatekeleza mchakato huo kwa kuwa nta zinaweza kuwaka moto

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi