»mafunzo ya ufugaji wa nguruwe – utunzaji wa nguruwe»

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.youtube.com/watch?v=d7kaw6CG-WU

Muda: 

00:10:09
Imetengenezwa ndani: 
2019

Imetayarishwa na: 

Hubbard Animal Nutrition

Kwa sababu ya utamu na lishe, mahitaji ya nyama ya nguruwe yameongezeka sokoni huku uuzaji wake ukipungua kutokana na ufugaji duni unaoathiri uzalishaji.

Mambo makuu katika utunzaji wa nguruwe ni pamoja na kuwapa maji, malisho, mazingira mazuri na kushughulikia mnyama kibinafsi.

Usimamizi wa nguruwe

Kwa kuwa kulisha ni mojawapo ya sababu muhimu zaidi zinazoathiri ubora wa maziwa, tumia vyakula vya ubora wa juu vilivyo na lishe muhimu. Hakikisha kwamba nguruwe wana ulaji mwingi wa chakula kwa kutumia mikakati kama vile kulishia kwa mikeka.

Weka malisho ya kutosha kwenye vyombo vya kulishia kama vile kutumia damani za plastiki. Changanya sehemu 1 ya chakula kwa sehemu 2 za maji ili kuboresha unywaji wa maji na ulaji wa chakula cha nguruwe.

Wape wanyama maji ya kutosha, na watolee galoni 3–4 kwa siku. Ondoa maji yaliyotwama, huku ukihimiza upenyaji wa hewa safi katika banda ili kudhibit joto.

Pia tunza na shughulikia kila mnayama kivyake na watolee matibabu ipaswavyo.

Hatimaye, kagua manyoya na rangi ya nguruwe, na pia tambua wanyama wagonjwa na wale wasio wazima.

Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0000:17Vitu kuu katika kitalu cha nguruwe ni pamoja na malisho, maji, mazingira na utunzaji wa wanyama binafsi.
00:1801:03Walishe nguruwe kwa malisho ya hali ya juu yenye madini muhimu ili kutoa maziwa bora.
01:0401:45Hakikisha ulaji mwingi wa chakula kwa kutumia zana kama vile ulishiaji kwa mikeka.
01:4602:17Weka malisho ya kutosha kwenye vyombo vya kulishia
02:1804:00Vyombo vya kulishia ni pamoja na a damani za plastiki
04:0104:43Wape wanyama maji ya kutosho
04:4405:58Himiza uingizaji wa kiwango cha kutosha cha hewa
05:5907:11Tunza na shughulikia wanyama kibinafsi na watolee matibabu ipaswavyo
07:1207:52Kagua manyoya na rangi ya nguruwe
07:5310:03Kagua banda ili kutambua wanyama wagonjwa.
10:0410:09Muhtasari

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *