»Ufugaji wa ng‘ombe«

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.youtube.com/watch?v=fXUeZBrxaxw

Muda: 

00:04:34
Imetengenezwa ndani: 
2018

Imetayarishwa na: 

Business Ideas English

Kwa kuwa ni biashara nzuri, ubora wa wingi wa bidhaa za ng‘ombe hutegemea mbinu za usimamizi zinazotumika.

Ufugaji wa ng’ombe ni biashara yenye faida kubwa. Ili kuanzisha ufugaji wa ng’ombe, unahitaji kuandaa mpango wa biashara, kuamua juu ya ukubwa wa mradi na muda, pamoja na idadi ya ng’ombe, eneo na lengo la soko.

Usimamizi wa ng‘ombe

Anzisha biashara kwa kiwango kidogo, na endelea kuipanua kwa muda. Kisha zingatia bei ya ngombe sokoni, aina ya ng‘ombe na umri. Hakikisha kwamba kuna pesa za kununua ng‘ombe kila wakati.

Vile vile jenga banda lililo na paa la mabati, sakafu ya saruji na vihori vya chakula. Banda linapaswa kuwa wazi upande mmoja, na liwe karibu na nyumba ya mkulima. Tolea mnyama nafasi ya kutosha, na endelea kumpa malisho bora kwa unenepeshaji wa ng‘ombe.

Kiasi cha chakula kinachotolewa hutegemea uzito na umri wa ng‘ombe na kwa hili, toa wastani wa kilo 8–15 za malisho kwa kila mnyama kwa siku. Idadi ya wafanyakazi hutegemea ukubwa wa mradi wa ufugaji wa ng‘ombe.

Hatimaye, kuna haja ya kuwa na ujuzi wa kitaalam wa ufugaji wa ngombe ili kufanikiwa na biashara. Uza nyama ya ng’ombe nyumbani, bucha, shuleni, mikahawani, na madukani makubwa.

Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0000:23Ufugaji wa ng’ombe ni biashara yenye faida kubwa.
00:2400:28Ili kuianzisha, inahitaji mpango wa biashara
00:2900:40Pia amua juu ya ukubwa wa mradi, na muda.
00:4100:52Zingatia idadi ya ng’ombe, eneo na lengo la soko.
00:5301:22Kisha zingatia bei ya ngombe sokoni
01:2301:33Zingatia aina ya ng‘ombe na umri
01:3401:43Hakikisha kwamba kuna pesa za kununua ng‘ombe kila wakati.
01:4402:03Jenga banda lililo na paa la mabati, na sakafu ya saruji.
02:0402:07Banda linapaswa kuwa wazi upande mmoja, na liwe karibu na nyumba ya mkulima.
02:0802:22Tolea mnyama nafasi ya kutosha
02:2302:42Mpe ng‘ombe malisho bora kwa ili aweze kunenepa mwili.
02:4303:03Kiasi cha chakula kinachotolewa hutegemea uzito na umri wa ng‘ombe
03:0403:21Idadi ya wafanyakazi hutegemea ukubwa wa mradi wa ufugaji wa ng‘ombe
03:2203:28Kuna haja ya kuwa na ujuzi wa kitaalam wa ufugaji wa ngombe
03:2904:25Uza nyama ya ng’ombe nyumbani, bucha, shuleni, mikahawani, na madukani makubwa.
04:2604:34Muhtasari

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *