Umwagiliaji kwa njia ya Kunyunyiza

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.youtube.com/watch?v=FiZwXACazhk

Muda: 

00:07:24
Imetengenezwa ndani: 
2020

Imetayarishwa na: 

Organic Farming Research Foundation
Kwa kuwa ni jambo muhimu la ukuaji wa mazao, kiwango cha umwagiliaji kinaamuliwa na aina ya mazao, msimu na uwezo wa mkulima kununua vifaa.
Umwagiliaji kwa njia ya kunyunyizia hutumika sana katika kilimo. Katika hali hii, maji  husukumwa kutoka kwenye visima kwa kutumia mashine na shinikizo la paundi 50/sq inch na kuenezwa shambani.

Usimamizi wa mfumo

Kwanza, mabomba ya urefu wa futi 30 na inchi 3 huunganishwa pamoja ili kuunda mfumo
wa umwagiliaji shambani, na hivyo kuwezesha umwagiliaji wa mazao yote shambani. Umwagiliaji hufanywa kila siku kulingana na halijoto. Kwa umwagiliaji wa njia ya kunyunyuzia, mstari wa mabomba huwekwa kila baada ya futi 30 shambani.
Vile vile, iwapo hakuna mabomba ya kutosha, sogeza mistari kwa upana wa futi 30 kila unaponyunyizia ili kunyunyizia shamba lote. Katika mfumo huo, mabomba hutumika kwa umwagiliaji.
Hatimaye, kila tudu la kinyunyuziaji hutoa galoni 4 za maji kila dakika.
Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0001:38Umwagiliaji kwa njia ya kunyunyizia hutumika sana katika kilimo.
01:3901:50maji husukumwa kutoka kwenye visima kwa kutumia mashine na shinikizo la paundi 50/sq inch na kuenezwa shambani.
01:5102:10mabomba ya urefu wa futi 30 na inchi 3 huunganishwa pamoja ili kuunda mfumo wa umwagiliaji shambani
02:1102:38Umwagiliaji hufanywa kila siku kulingana na halijoto.
02:3903:27Kwa umwagiliaji wa njia ya kunyunyuzia, mstari wa mabomba huwekwa kila baada ya futi 30 shambani.
03:2803:37Iwapo hakuna mabomba ya kutosha, sogeza mistari kwa upana wa futi 30 kila unaponyunyizia
03:3805:44Katika mfumo huo, mabomba hutumika kwa umwagiliaji.
05:4507:10 kila tudu la kinyunyuziaji hutoa galoni 4 za maji kila dakika
07:1107:24Muhtasari

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *