Umwagiliaji kwa njia ya mtaro

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.youtube.com/watch?v=CEQjuc0gpmM

Muda: 

00:04:55
Imetengenezwa ndani: 
2020

Imetayarishwa na: 

Organic Farming Research Foundation
Kwa kuwa ni jambo muhimu la ukuaji wa mazao, kiwango cha umwagiliaji kinaamuliwa na aina ya mazao, msimu na uwezo wa mkulima kununua vifaa.
Katika umwagiliaji kwa njia ya mtaro, mabomba husukuma maji kwenye mitaro, na mabomba ya kipenyo cha inchi 6 na urefu wa futi 20-30 hutumiwa. Tundu huwekwa kila baada ya inchi 30 kwenye bomba la umwagiliaji, matundu haya huwezesha maji kutiririka ndani ya mtaro. 

Uanzishaji wa mfumo

Umwagiliaji kwa njia ya mtaro huruhusu mtiririko wa maji katika mwelekeo mmoja, mfumo pia huruhusu utumiaji wa trekta kudhibiti magugu. Tumia mazao ambayo yana mizizi ya kina kirefu kwa ufyonzaji mzuri wa maji. Hatimaye, mwagilia kwa kutumia mfumo wa mitaro baada ya kila siku 10 au wiki 2 kulingana na aina ya udongo.
Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0000:25Katika umwagiliaji kwa njia ya mtaro, mabomba husukuma maji kwenye mitaro,
00:2600:40 Tundu huwekwa kila baada ya inchi 30 kwenye bomba la umwagiliaji
00:4102:38Umwagiliaji kwa njia ya mtaro huruhusu mtiririko wa maji katika mwelekeo mmoja
02:3903:02 mfumo pia huruhusu utumiaji wa trekta kudhibiti magugu.
03:0303:55Tumia mazao ambayo yana mizizi ya kina kirefu kwa ufyonzaji mzuri wa maji.
03:5604:20mwagilia kwa kutumia mfumo wa mitaro baada ya kila siku 10 au wiki 2 kulingana na aina ya udongo.
04:2104:55Muhtasari

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *