00:00 | 03:52 | Samaki mbichi huwekwa kwenye chombo ambapo maji ya bahari na chumvi huongezwa kwa siku 2. |
03:53 | 05:19 | Baada ya siku 2, samaki huondolewa kwenye chombo na kupelekwa kwenye eneo la kukaushia. |
05:20 | 08:15 | samaki huoshwa kwa maji safi kabla ya kukaushwa |
08:16 | 16:40 | Samaki hukaushwa kwa muda wa siku 3 chini ya jua kali. |
16:41 | 16:53 | samaki huachwa wazi anapokaushwa, ni bora kufunikwa usiku. |
16:54 | 17:27 | Pindua samaki mara kwa mara ili akauke vizuri |
17:28 | 20:12 | Hakikisha kwamba samaki hupata jua la kutosha wakati wa kukausha. |
20:13 | 23:05 | Samaki waliokaushwa huwekwa kwenye vikapu na kupelekwa sokoni kuuzwa. |
23:06 | 24:19 | Samaki huchambuliwa kulingana na ukubwa wake. |
24:20 | 27:37 | Muhtasari |