»Jinsi ya kupanda viazi vitam«

0 / 5. 0

Chanzo:

https://www.youtube.com/watch?v=gWe3CJSs7sE

Muda: 

00:05:22
Imetengenezwa ndani: 
2015

Imetayarishwa na: 

Asian garden 2 table

Majani ya viazi vitamu ni mojawapo ya mboga rahisi mbazo pia zina ladha tamu zaidi.

Halijoto zaidi ya digrii 70 huhimiza ukuaji wa viazi vitamu, lakini lile lisilozidi digrii 50 husababisha mimea kunyauka. Baada ya kuvuna majani ya viazi, yapike haraka kwa sababu mashina na majani huwa vinapoteza ladha haraka.

Kupanda mashina ya viazi vitamu

Chagua aina sahihi ya viazi vitamu ambavyo ni tamu.

Ondoa majani, zika unusu wa tawi katika kiriba, na kishwa mwagilia maji ili udongo upate unyevu ambao husaidia katika ukuaji wa mmea.

Baada ya wiki 1 – 2 pandikiza miche wakati mashina yitakapoanza kutoa majani.

Ongeza mboji na uichanganye na udongo ili kuhimiza ukuaji wa viazi vitamu.

Panda miche kwa umbali wa futi 1 na upana wa futi 3 – 4 kwa sababu viazi vitamu huenea katika eneo pana.

Chuma mashina yaliyo na majani mawili ili kuhimiza ukuaji wa mashina mapya zaidi.

Nyunyiza mbolea za maji, ondoa matawi makuu, chimba mfereji kuzunguka mmea na uujaze nao mbolea oza ili kufanya mmea unawiri.

Ongeza mbolea oza ili kuhimiza ukuaji endelevu na uchume tena baada ya wiki 2.

Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0000:25Kupanda mashina ya viazi vitamu
00:2600:46Chagua aina sahihi ya viazi vitamu
00:4700:54Ondoa majani, zika unusu wa tawi katika kiriba, na kishwa mwagilia maji
00:5501:25Baada ya wiki 1 – 2 pandikiza miche, ongeza mboji na uichanganye na udongo.
01:2602:29Panda miche kwa umbali wa futi 1 na upana wa futi 3 – 4
02:3002:50Chuma mashina yaliyo na majani mawili
02:5103:38Nyunyiza mbolea za maji, ondoa matawi makuu, chimba mfereji, ongeza mbolea.
03:3904:28Vuna matawi makubwa ya shina.
04:2905:22Ongeza mbolea oza na uchume tena baada ya wiki 2.

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *