»Kutibu mbegu za mbaazi kwa kutumia joto la jua»

0 / 5. 0

Chanzo:

https://sawbo-animations.org/244

Muda: 

00:02:20
Imetengenezwa ndani: 
2012

Imetayarishwa na: 

SAWBO

Mbaazi hukabiliwa na uharibifu unaosababishwa na mabuu ya wadudu. Uharibifu huu unaweza kuondolewa au kupunguzwa kwa kutumia joto kutoka kwa jua kufika kiwango cha 50 ° C ambalo linaweza kuua wadudu.

Andaa jamvi kwa kutandaza nyenzo kama vile majani makavu na mabua kwenye sakafu ili kuzuia upotezaji wa joto. Funika jamvi kwa damani ya plastiki nyeusi ili kunasa joto kutoka kwa jua. Tandaza takriban kilo 5 za mbaazi kwa kila mita mraba kwenye damani ya plastiki nyeusi huku ukiacha nafasi kati ya mbegu. Kisha funika mbegu kwa damani ya plastiki inayopenyeza mwanga wa jua. Kunja kingo za damani ya plastiki na uziimarishe kwa sakafu ukitumia mawe.

Acha mbegu kwenye jua kwa takaribani masaa 2. Hii huua wadudu ikiwa waliomu. Hifadhi mbegu kwenye chombo kisichopitisha hewa. Mbegu hizi zinaweza kutumiak wakati wowote bila kuweka viuatilifu.

Kuanzia dakika ya Hadi dakika y Maelezo
00:0000:40Mbaazi hukabiliwa na uharibifu unaosababishwa na mabuu ya wadudu. Uharibifu huu unaweza kuondolewa au kupunguzwa kwa kutumia joto kutoka kwa jua kufika kiwango cha 50 ° C.
00:4101:09Tandaza nyenzo kama vile majani makavu na mabua kwenye sakafu na uyafunike kwa damani ya plastiki nyeusi.Tandaza takriban kilo 5 za mbaazi kwa kila mita mraba kwenye damani ya plastiki.
01:1001:20Funika mbegu kwa damani ya plastiki inayopenyeza mwanga wa jua. Kunja kingo za damani ya plastiki na uziimarishe kwa sakafu ukitumia mawe.
01:2101:42Acha mbegu kwenye jua kwa takaribani masaa 2. Hifadhi mbegu kwenye chombo kisichopitisha hewa. Mbegu hizi zinaweza kutumika wakati wowote bila kuweka viuatilifu.
01:4302:20Muhtasari

Tazama video ya nje

Kwa kubofya kiunga kifuatacho au kitufe cha kucheza utaondoka kwenye Maktaba ya Video ya FO na utumie tovuti ya nje! Tungependa kukuona tena, kwa hivyo usisahau kurudi!

Soma zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *